Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Hapana mkuu sijawahi kuona katika upeo wa macho yangu ghorofa iliyojengwa kwa siku moja.

Vp lipo ghorofa hilo??
Ghorofa hilo ni sawa na maisha, huwezi uka zaliwa na kutoboa hapo hapo.
πŸ‘‰Kila kitu ni hatua mithili ya ngazi, Kikubwa fikiri na tenda Kama mtu msomi- ( sio wa PhD) bali maarifa sahihi.
πŸ‘‰Boresha mbinu zako, kuanzia jinsi unavyo jiweka, wanao kuzunguka, mpaka ndani yako. KJ07
 
Shukrani mkuu.
Hakika umeniongezea jambo katika ufahamu wangu.
Nitafanyia kazi ili panapo majaaliwa 2024 uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi ya haya niliyoyapata 2023
 
Asante sana dadangu. My dream is one day to see you in person. With my family. God used you to save us; and we will be eternally grateful to you. Ubarikiwe mpaka ukinai πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…