Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji3059][emoji3059][emoji847]Mama Muinjiliiiiii; a big AMEN. Love you big time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3059][emoji3059][emoji847]Mama Muinjiliiiiii; a big AMEN. Love you big time
You too my dear🥰🥰🥰Stay blessed 😍😘
Karibu sana JF mkuu. Naamini tutakutana kwenye madini hapo mbeleniBinafsi Heaven Sent .
Huenda kwa uchanga wangu jf, sijabahatika kukutana na hayo mabandiko yako ila kwa ushuhuda huu.
Inaonekana ulikuwa unatema madini sana.
Happy birthday.
Location ni hapahapa. Ahsante sana nkamuHappy birthday Mamaaa. Location wapi zawadi ziletwe? Heaven Sent
Anna Mwaigomole Sister Kama hili ni jina lako halisi, Mimi mdogo wako aisee.
Thank you funzadume
Amen Amen AmenTangia leo nimehama kutoka kwa faizafoxy....wew ndiye m'bora wetu humu. Ubarikiwe dada #heaven sent uishi sana kama maandiko yako yanavyoishi. Barikiwa sana...tena sana.
Thank you Shadow7Happy birthday
I'm humbled 🙏🏽Thank you wise man
Hapana mkuu sijawahi kuona katika upeo wa macho yangu ghorofa iliyojengwa kwa siku moja.Kijana niku ulize swali???, Usha wahi ona ghorofa Lina jengwa kwa siku 1 🤔
Ghorofa hilo ni sawa na maisha, huwezi uka zaliwa na kutoboa hapo hapo.Hapana mkuu sijawahi kuona katika upeo wa macho yangu ghorofa iliyojengwa kwa siku moja.
Vp lipo ghorofa hilo??
Shukrani mkuu.Ghorofa hilo ni sawa na maisha, huwezi uka zaliwa na kutoboa hapo hapo.
👉Kila kitu ni hatua mithili ya ngazi, Kikubwa fikiri na tenda Kama mtu msomi- ( sio wa PhD) bali maarifa sahihi.
👉Boresha mbinu zako, kuanzia jinsi unavyo jiweka, wanao kuzunguka, mpaka ndani yako. KJ07
Pamoja Sana kijana, daunia ni Kama darasa.Shukrani mkuu.
Hakika umeniongezea jambo katika ufahamu wangu.
Nitafanyia kazi ili panapo majaaliwa 2024 uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi ya haya niliyoyapata 2023
Nashukuru sana Half americanHappy bday dada Heaven Sent Mungu azidi kukubariki sana.
Thank you Slim5
Asante sana dadangu. My dream is one day to see you in person. With my family. God used you to save us; and we will be eternally grateful to you. Ubarikiwe mpaka ukinai 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Yaani nkamu (naamini ni mnyaki kwa hiyo surname) nipo nabhulunguka huku (in Eliud's voice). My heart is full of gratitude... I am humbled by your words
Haki nimekuwa surprised; maana nimekimbilia kuangalia ID, nikabaki kushangaa as sio familiar sana kwangu. Ahsante kwa funzo ulilonikumbusha siku yangu leo; "Maandiko yanaishi". Lakini kubwa zaidi tukipata nafasi ya kutenda vyema; basi tusisite hata kidogo. Imagine niliandika tu kwa passion yangu, pasipo kujua kuwa ninachokiandika kinakwenda kugusa na kuponya moyo wa mtu. Aiseee January kwa neema na kibali Cha Mungu; nitarudi tu niendelee na magazeti yangu. Who knows labda mwingine ataguswa na maandiko yangu na kupona. "Life worth living, and a Legacy Worth Leaving". Ubarikiwe sana ndugu yangu; umeugusa sana moyo wangu leo.....