Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Hapana mkuu sijawahi kuona katika upeo wa macho yangu ghorofa iliyojengwa kwa siku moja.

Vp lipo ghorofa hilo??
Ghorofa hilo ni sawa na maisha, huwezi uka zaliwa na kutoboa hapo hapo.
👉Kila kitu ni hatua mithili ya ngazi, Kikubwa fikiri na tenda Kama mtu msomi- ( sio wa PhD) bali maarifa sahihi.
👉Boresha mbinu zako, kuanzia jinsi unavyo jiweka, wanao kuzunguka, mpaka ndani yako. KJ07
 
Ghorofa hilo ni sawa na maisha, huwezi uka zaliwa na kutoboa hapo hapo.
👉Kila kitu ni hatua mithili ya ngazi, Kikubwa fikiri na tenda Kama mtu msomi- ( sio wa PhD) bali maarifa sahihi.
👉Boresha mbinu zako, kuanzia jinsi unavyo jiweka, wanao kuzunguka, mpaka ndani yako. KJ07
Shukrani mkuu.
Hakika umeniongezea jambo katika ufahamu wangu.
Nitafanyia kazi ili panapo majaaliwa 2024 uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi ya haya niliyoyapata 2023
 
Yaani nkamu (naamini ni mnyaki kwa hiyo surname) nipo nabhulunguka huku (in Eliud's voice). My heart is full of gratitude... I am humbled by your words

Haki nimekuwa surprised; maana nimekimbilia kuangalia ID, nikabaki kushangaa as sio familiar sana kwangu. Ahsante kwa funzo ulilonikumbusha siku yangu leo; "Maandiko yanaishi". Lakini kubwa zaidi tukipata nafasi ya kutenda vyema; basi tusisite hata kidogo. Imagine niliandika tu kwa passion yangu, pasipo kujua kuwa ninachokiandika kinakwenda kugusa na kuponya moyo wa mtu. Aiseee January kwa neema na kibali Cha Mungu; nitarudi tu niendelee na magazeti yangu. Who knows labda mwingine ataguswa na maandiko yangu na kupona. "Life worth living, and a Legacy Worth Leaving". Ubarikiwe sana ndugu yangu; umeugusa sana moyo wangu leo.....
Asante sana dadangu. My dream is one day to see you in person. With my family. God used you to save us; and we will be eternally grateful to you. Ubarikiwe mpaka ukinai 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

IMG_20231218_150013_811.jpg
 
Back
Top Bottom