Happy Birthday Davet[emoji847]

Happy Birthday Davet[emoji847]

ledada

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
16,993
Reaction score
65,237
Japo umechelewa kusema ila sio mbaya hata sasa hivi[emoji4]. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata[emoji847] nashukuru kwa hilo kipenzi and your always there kila ninapokuhitaji ahsante.

Mwenyezi Mungu akubariki,akupe maisha marefu na mazuri. Nakupenda sana[emoji8][emoji8]

Happy Birthday once again Babe. Have a blast.[emoji1635][emoji898]
Davet
 
Kheri ya kuzaliwa mkuu aliye juu akuongezee miaka kadhaa uendelee kupiga matonge
 
Aiseee mkuu, uishi Miaka 93 !! .

Upate watoto 4.

Wajukuu 18

Vitukuu 9.

Vinyanya 2

Mkiambiwa mzae sana, mnaona ohooooo !! Ona sasa !!!

Mpaka unasepa una uzao wa watu 33
 
46709359_123114908705341_2872857398053695106_n.jpg
Happy birthday davet
 
Tatizo mhusika kaingia mitini daah hope atajitokeza kabla haijaeksipaya
Kawaida yake hiyo. Unafikiri kuzinduliwa mchezo? Inabidi uwe na roho ngumu espeshale kama ulikuwa umefanya daivesifikesheni ofu yua investimentisi (ifu yu no whataimini). Atarudi tu na maneno kibao [emoji16][emoji16][emoji16]

#BringBackBaeWaUzi# [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom