Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Hhahahah!!!!!!Happy bday mzeebaba davet
Hii kapo ni ya kimya kimya
Nitarudi
pamoja sana mzee baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhahahah!!!!!!Happy bday mzeebaba davet
Hii kapo ni ya kimya kimya
Nitarudi
Hahahah! Zama zimebadirika mkuuHuu uzi bana !!! Kuna watu wamegoma kabisa kabisa kutia neno.
Ili hali walikua wanaelewana kinoma.
Wapo wa Baby..wapo wa Kaka..wapo wa Baba..wapo wa Babu n.k n.k
Lkn sasa ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF NI TAMBARA BOVU....
Tunakataana waziwazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungeona sura sasa kama nimepaka poda au mayai 😀😀
Tubarikiwe sote tukikimbilie mkuuHongera kwa kukikaribia kifo mkuu
Mzungu hana maana. hahah[emoji23][emoji23]
Asante tena na samahani tena kwa kuchelewa kufika humu ila uzuri wewe mwenyewe wajua kwanini sijafika kwa wakatiJapo umechelewa kusema ila sio mbaya hata sasa hivi[emoji4]. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata[emoji847] nashukuru kwa hilo kipenzi and your always there kila ninapokuhitaji ahsante.
Mwenyezi Mungu akubariki,akupe maisha marefu na mazuri. Nakupenda sana[emoji8][emoji8]
Happy Birthday once again Babe. Have a blast.[emoji1635][emoji898]
Davet
SAFI SANA, .....MAANA NILIKUA NMESHAMIND.Hahahah! asante sana mkuu wa kazi ubarikiwe
Hata kama Boss wangu...maisha nhaya haya na watu niwalewale.Hahahah! Zama zimebadirika mkuu
Hahah nimeona kuna sehemu umekuja kuniswaga kabisa.......... Nilipata dharula kidogo ndio maana sikuwa kwa wakatiSAFI SANA, .....MAANA NILIKUA NMESHAMIND.
wafuasi tunakutakia her ya kuzaliwa alafu huonekani !!
Nikweli boss huwezi kutupwa na woteHata kama Boss wangu...maisha nhaya haya na watu niwalewale.
ENJOY MAISHA YAKO ...
Siunaona unakumbukwa hata nasisi
Hahahah!Narudi...muda sio mrefu...mpaka uzi ufike page ya 500
Daaah mkuu BAK kama siamini hivi kukuona humu, Nashukuru sana ndugu yangu
Thanks sana mkuu, vipi ndio tupo tupo au unarudi kule tena?Nipo Mkuu enjoy your special day with members of your family, relatives and friends. May God bless you with more.
Eeeh mkuu kajitokeza bhanaWeuwe davet duh hadi tumemuona BAK,shukrani lesistaaaa
Naunga mkono hoja...Hahaha sawa tu mkuu nitapokea na kushukuru pia