Happy Birthday Davet[emoji847]

Happy Birthday Davet[emoji847]

Huu uzi bana !!! Kuna watu wamegoma kabisa kabisa kutia neno.

Ili hali walikua wanaelewana kinoma.
Wapo wa Baby..wapo wa Kaka..wapo wa Baba..wapo wa Babu n.k n.k


Lkn sasa ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF NI TAMBARA BOVU....

Tunakataana waziwazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah! Zama zimebadirika mkuu
 
Japo umechelewa kusema ila sio mbaya hata sasa hivi[emoji4]. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata[emoji847] nashukuru kwa hilo kipenzi and your always there kila ninapokuhitaji ahsante.

Mwenyezi Mungu akubariki,akupe maisha marefu na mazuri. Nakupenda sana[emoji8][emoji8]

Happy Birthday once again Babe. Have a blast.[emoji1635][emoji898]
Davet
Asante tena na samahani tena kwa kuchelewa kufika humu ila uzuri wewe mwenyewe wajua kwanini sijafika kwa wakati
 
Back
Top Bottom