Hahahahha chakula vipi kina kasoro yeyote siku nyingine tufanye mabadilikoYaani meza ilivyochafuka hadi raha. But umenikera kwny sekta ya chakula. Uliempa hiyo tenda nani? Maana nmetoka usingizini nilihisi nipo bar kilichonishitua ni chakula ndo kujitambua km npo jf
town, nimekwambia karibu sio platnum kabisaYa town au ya Area D
Karibuni sanaaaView attachment 837301
Umeamua kunitenga, sawa tu...Na msosi nimekula wa kutoshaa kukaribisha mwaka mwingine na kukaribisha uzeee ubitukinaooView attachment 837303
town,Ya town au ya Area D
Hahaha! hapana hicho cha vijana wa dsm.Hahahahha chakula vipi kina kasoro yeyote siku nyingine tufanye mabadiliko
Na ww nipe Silver yangu sijasahauKabisa mamy ila sijasahau vocha yangu atiii sisi tuliozaliwa mwezi 8 ni team kujitambua na kujiamini eeh mwenyezi Mungu atusimamie maisha yoteeee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hahahahah nimecheka sana nimeangalia miaka yangu mpaka nifikishe 40 ni nusu ya miaka niliyonayooo sawaa tuombe uzimaaaHahaha! hapana hicho cha vijana wa dsm.
But Happy Birthday, kumbuka ukifika miaka 40 ni pm utakuwa wakati wng na mimi
Subiri ulegeze kwanza, nikisema sasa hivi unaweza kaza zaidiJamani M kathias nitalegeza nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kisasi juu ya kisasi ulizani nimesahau muone vile nina kumbukumbu kama antena za redio
Sina den mim tafadharKhaaa nilikwambia nimeacha wapi jamani? Mbn hivyo kwanza nakudai ujue usitake nikakudai hapahapa jukwaani[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SawaAiseee usiwe unawatag wazee wengine wana wake zao humu wakiona hawachelewi kupaniki wakaniharibia siku.