Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #41
Hahahahha chakula vipi kina kasoro yeyote siku nyingine tufanye mabadilikoYaani meza ilivyochafuka hadi raha. But umenikera kwny sekta ya chakula. Uliempa hiyo tenda nani? Maana nmetoka usingizini nilihisi nipo bar kilichonishitua ni chakula ndo kujitambua km npo jf