Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Basi wote itabidi tuifanye tar 31 Jan ili kila mtu apate........ha ha ha

Cc.. Asprin.......
Neno lako Preta, na liwe neno la Mungu January hii...

CC: FirstLady1, Mentor: Kwa utekelezaji.

Watu wa January, wote ni majiniaz kwa kuwa wamekua na Yesu. Bikira Maria angekuwa angeamua, Yesu angezaliwa January.

Watu wote na waseme AMINA!!
 
Last edited by a moderator:

Hallelluyah.......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…