28th November
Ungesubir cku 2 tungezaliwa pamoja
08April
16 april
hiv humu hayupo alozaliwa siku moja na mim khaaaa
Ungeandika August 19,ningeshapata twin wangu saa ingine muwe mnadanganya.Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.