Kungun
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 207
- 194
Pacha wangu. Lakin sio mrithi wa bibi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]16 april
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pacha wangu. Lakin sio mrithi wa bibi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]16 april
Hii siku amezaliwa kaka yangu! Nitavunjika mbavu kama ndio wewe maana sio kwa vita ile23 dec
Hahahahaaa umenichekeshaHii siku amezaliwa kaka yangu! Nitavunjika mbavu kama ndio wewe maana sio kwa vita ile
Hahahaaaaaa
8 April13 kdgo napata matumain!!
Tujiandae my kuwishiana au unasenaje??8 April
7/8/_______ pamojaHapa august Saba tupo pamoja
Seriously,ila kaka yangu anaishi Mbeya...kama nawe unaishi huko ni balaa aiseeee.Hahahahaaa umenichekesha
Am livin in dar es salaam afadhalii maana ingekua aibu" ile mishushu ukiyokua unanipa ningekukata maskio hahahSeriously,ila kaka yangu anaishi Mbeya...kama nawe unaishi huko ni balaa aiseeee.
Maana in real life tunapendana sana na kaka yangu.
Nimefungua hii post nikiwa natetemeka hatariiiiiii.Am livin in dar es salaam afadhalii maana ingekua aibu" ile mishushu ukiyokua unanipa ningekukata maskio hahah