Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

~Sunday,13th October,LIBRA.
~International day for natural disaster reduction [emoji23]
 
Inawezekana.najua kupenda sana hadi naogopa!sijui kucheat maana sijui kudanganya mi mkweli daima.mkwanja kila MTU anapenda mkwanja ndo maana asubuhi tunaacha stare he zote kusulubika tupate mkwanja
Acha uongo kwakwer😄😄
 
JF waweke search function ya kwenye comments ili kutuepusha kusoma kurasa 283 tukitafuta comment mahsusi ya birthday mate. doh!😢🥲
Hii nimetoka kujaribu nikaona hamna.
Ingetakiwa kuwe na advance search kwenye thread fulani,
Unaweka title ya thread, then una search keywords
 
Back
Top Bottom