BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Nipo hapaMimi nina pacha humu. Ila nilovyopotea miaka km 4 hivi, tukapotezana. Bora wewe Shadeeya unawakumbuka, mimi sikumbuki.
Narudia 20/6
In Mtoto halali na hela voice π π π π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo hapaMimi nina pacha humu. Ila nilovyopotea miaka km 4 hivi, tukapotezana. Bora wewe Shadeeya unawakumbuka, mimi sikumbuki.
Narudia 20/6
In Mtoto halali na hela voice π π π π
Kidogo tu mzee tufatane26th April
Kweli wewe 20/6??? Mmmh nina wasiwasi BRN πππππNipo hapa
Ooh basi vizuri my Twin BRN tuko pamoja. Kuanzia leo wewe ni my twinKweli niliweka humu mwanzo wa Uzi huu nikaona kimya..nikajua niko mwenyewe
Wow vizuri sana Jadda Gemini inaishia 21/6[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hivi siyo CANCER
Anyway umezaliwa mwezi mmoja na mzee wangu na dada yangu ninayemfuata sema Tarehe umewatangulia kidogo
Oohh kama Gemini inaishia 21 basi wao wameangukia kwenye Cancer, maana Dada ni 22 na Mzee ni 28, mwanzo Nilifikiri Cancer itakuwa inaanzia kwenye 20Wow vizuri sana Jadda Gemini inaishia 21/6
Gemini ni watu wa kipekee sana. Huwa na moyo mzuri but usiingie kweny 18 zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nafikiri utakuwa na ushuhuda huu, kutoka kwa Baba na dada.
Good, ukipata nafasi fatilia Gemini, utawapenda. Wanasema ni kati ya nyota the best πππOohh kama Gemini inaishia 21 basi wao wameangukia kwenye Cancer, maana Dada ni 22 na Mzee ni 28, mwanzo Nilifikiri Cancer itakuwa inaanzia kwenye 20
Sema sijapata kufuatilia vizuri sifa zenu kina Gemini labda sababu kwenye familia yetu hatuna Gemini
Lakini binafsi nawakubali Cancer na Libra (My Mom), naonaga kama ni Watu wanaojiamini na kujikubali sana, hadi nawish ningezaliwa kwenye kati ya nyota hizo [emoji2][emoji2]
Oohh itabidi nianze kuwafuatilia, maana siwezi jua ya kesho, nisije nikafall kwa le mbebez wa Kigemini bila kujua sifa zake [emoji16][emoji16]Good, ukipata nafasi fatilia Gemini, utawapenda. Wanasema ni kati ya nyota the best [emoji4][emoji4][emoji4]
Umeonaee hatujui kesho inakuja na nini. Bora ujue mapema na uweze kumhandle Mgemini akitokea πππOohh itabidi nianze kuwafuatilia, maana siwezi jua ya kesho, nisije nikafall kwa le mbebez wa Kigemini bila kujua sifa zake [emoji16][emoji16]
Hongera pia hongera kwa kwa wazazi wake pia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umeonaee hatujui kesho inakuja na nini. Bora ujue mapema na uweze kumhandle Mgemini akitokea [emoji4][emoji4][emoji4]
Kumbe sisi 20/6 ndiyo funga dimba wa Gemini.
Halafu Gemini ndiyo wenye mapenzi ya kweli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yes kuna nyota haziendani kimahusiano. Na kuna zinazoendana, tafuta kwa kweli hutojuta. Kama unataka mapenzi ya kweli, kupendwa mpk uchanganyikiwe basi Gemini ndiyo jibu π€π€π€[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwee mwee mwee usinifanye nitafute my wangu mgemini kwa udi na uvumba
Though wanasema hizi nyota nazo ni za kuzingatia sana kwenye mahusiano na ndoa maana siyo kila nyota zinaendana