Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Ooh basi vizuri my Twin BRN tuko pamoja. Kuanzia leo wewe ni my twin
#GEMINI
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hivi siyo CANCER
Anyway umezaliwa mwezi mmoja na mzee wangu na dada yangu ninayemfuata sema Tarehe umewatangulia kidogo
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hivi siyo CANCER
Anyway umezaliwa mwezi mmoja na mzee wangu na dada yangu ninayemfuata sema Tarehe umewatangulia kidogo
Wow vizuri sana Jadda Gemini inaishia 21/6
Gemini ni watu wa kipekee sana. Huwa na moyo mzuri but usiingie kweny 18 zao 🀣🀣🀣🀣🀣 nafikiri utakuwa na ushuhuda huu, kutoka kwa Baba na dada.
 
Wow vizuri sana Jadda Gemini inaishia 21/6
Gemini ni watu wa kipekee sana. Huwa na moyo mzuri but usiingie kweny 18 zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nafikiri utakuwa na ushuhuda huu, kutoka kwa Baba na dada.
Oohh kama Gemini inaishia 21 basi wao wameangukia kwenye Cancer, maana Dada ni 22 na Mzee ni 28, mwanzo Nilifikiri Cancer itakuwa inaanzia kwenye 20

Sema sijapata kufuatilia vizuri sifa zenu kina Gemini labda sababu kwenye familia yetu hatuna Gemini

Lakini binafsi nawakubali Cancer na Libra (My Mom), naonaga kama ni Watu wanaojiamini na kujikubali sana, hadi nawish ningezaliwa kwenye kati ya nyota hizo [emoji2][emoji2]
 
Good, ukipata nafasi fatilia Gemini, utawapenda. Wanasema ni kati ya nyota the best 😊😊😊
 
Oohh itabidi nianze kuwafuatilia, maana siwezi jua ya kesho, nisije nikafall kwa le mbebez wa Kigemini bila kujua sifa zake [emoji16][emoji16]
Umeonaee hatujui kesho inakuja na nini. Bora ujue mapema na uweze kumhandle Mgemini akitokea 😊😊😊
Kumbe sisi 20/6 ndiyo funga dimba wa Gemini.
Halafu Gemini ndiyo wenye mapenzi ya kweli πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Umeonaee hatujui kesho inakuja na nini. Bora ujue mapema na uweze kumhandle Mgemini akitokea [emoji4][emoji4][emoji4]
Kumbe sisi 20/6 ndiyo funga dimba wa Gemini.
Halafu Gemini ndiyo wenye mapenzi ya kweli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwee mwee mwee usinifanye nitafute my wangu mgemini kwa udi na uvumba
Though wanasema hizi nyota nazo ni za kuzingatia sana kwenye mahusiano na ndoa maana siyo kila nyota zinaendana
 
Yes kuna nyota haziendani kimahusiano. Na kuna zinazoendana, tafuta kwa kweli hutojuta. Kama unataka mapenzi ya kweli, kupendwa mpk uchanganyikiwe basi Gemini ndiyo jibu πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Back
Top Bottom