annabrenda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 1,142
- 399
Niambie pacha
its good to know tunasheherekia siku moja ya kuzaliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie pacha
Hongereni banaa....
Mie bday yangu huwa inaendana na ya yule ninaemsalandia......hahaha
Ahaaaaa.......ule mwezi wetu wa kijanja ndio huu eeeh.......hii inabidi kumbukumbu iwepo........
Cc.... FirstLady1
Afu watu wanaweza kudhani masihara ujue.....
July 15
Tuko pamoja mkuu
Tuungane na mie tuweke ya kwetu!
August 07
atakaedhani utani imekula kwake....
Afu watu wanaweza kudhani masihara ujue.....
Thats gud no problem... Tutakata bonge la kekii
Jichanganye mkuu,ukizubaa kidogo tu inakula kwako.Hahahah kumamamae walah.....
si ufanye iwe june ili tuende sawa jamani?