Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Hello guys

Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya Mungu awabariki wapendwa. Pia, nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana.

Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na wachochea kuni wote tupo pamoja mazee nyie pia kheri iwe nanyi.

Karibuni mnipikie mniimbie mniswalike mnichekeshe na kunizawadia pia.

Warmly welcome
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom