Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Niseme tu usiamini kila tunachoandika humu au mitandaoni mingine mpaka uwe na ukaribu na kumjua huyo memba ile ya face to face yani nje ya jf katika uhalisia wake. Nyuma ya keyboard Kuna uongo na ufeki mwingi sana.
Kwa hiyo na Leo sio birthday yako? Nitaamini siku tukionana...[emoji6][emoji6][emoji6][emoji854][emoji854]
Have a blast one hun....[emoji3060][emoji3060]
 
Hello guys!

Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya mungu awabariki wapendwa. Pia nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana. Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na wachochea kuni wote tupo pamoja mazee nyie pia kheri iwe nanyi.

Karibuni mnipikie mniimbie mniswalike mnichekeshe na kunizawadia pia.

Warmly welcome
Una umri gani leo Mahondaw kipenz??
 
Niseme tu usiamini kila tunachoandika humu au mitandaoni mingine mpaka uwe na ukaribu na kumjua huyo memba ile ya face to face yani nje ya jf katika uhalisia wake. Nyuma ya keyboard Kuna uongo na ufeki mwingi sana.
Kwahiyo ile mihela iliyokuwa inapostiwa humu kipindi kile ilikuwa ni kamba?[emoji3]

By the way happy birthday my friend.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom