Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Asante Joanah . kama nilivosema nyuma ya keyboard kumejificha mengi mno! anyway zile annirversaries zilikua ndani ya ndoa my dia, I got married 2016 na mzee wa mwongozo tulikwaruzana badae tukafahamiana ki jf jf 2017.
Mh hapa cjaelewa bado mkuu, kwamba uliolewa na smart au uliolewa na mtu mwingine zen mkaachana ndo ukawa na smart.

Wengine cc co watu wa kufuatilia mambo ya watu ila haka ka relationship kenu nilivutika kukafatilia kimtindo [emoji3][emoji3]
 
Nakupenda huna ugomvi na mtu.
Nauliza unaishi wapi na uliwahi kuishi wapi, wapi ulizaliwa, historia ya elimu yako. Life experience gani unaipenda na kutamani iwepo/ingekuwepo kwako milele.

Happy birthday
thanks mpendwa, kwasasa naishi bukoba,, niliwahi ishi moro, dar, mwanza, kigoma, arusha, na mbeya. Nilizaliwa moro mazimbu huko elimu primary sua, olevo kilakala, advance moro sec, chuo UD. Experience naifeel sana sekta ya afya sema physics na kemia viligoma kabisa aisee viligoma mapemaaa form two huko!
 
Hello guys!

Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya mungu awabariki wapendwa. Pia nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana. Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na wachochea kuni wote tupo pamoja mazee nyie pia kheri iwe nanyi.

Karibuni mnipikie mniimbie mniswalike mnichekeshe na kunizawadia pia.

Warmly welcome
Nikutakie kila lenye kheri na baraka zake Mola kareem...
HBD ya nguvu always uwe imara na Afya muruwa.
Bila mzaha au bila ajizi... chagua Zawadi !!

Good Luck
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom