Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Sijaelewa!
Hahaa najua hamuwezi kuelewa venye tulivyowaaminisha kwa kipindi chote kile! Ni hivi mfano wewe in real life umewowa na una familia yako kabisa ila huku jf katika chatichati ukakutana na mchuchu mwingine feelings zikaumana so huku jf mnabebisha kama kawa ila in reality u mume wa mtu! Sijui mmenielewa ndugu zangu Chakorii Joanah Shadow7
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom