Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Kuna ID nikiziona nafarijika sana maana naikumbuka chitchat ya kipindi cha nyuma

Hongera kwa kuongezea miaka

Mungu akuongezee na hekima busara na akupe mapambano yanayo fanana na uwezo wako na akupe hitaji LA Moyo wako kwa wakati
Shukrani best longtime aisee. Nafurahi pia kukuona tena.
 
Niseme tu usiamini kila tunachoandika humu au mitandaoni mingine mpaka uwe na ukaribu na kumjua huyo memba ile ya face to face yani nje ya jf katika uhalisia wake. Nyuma ya keyboard Kuna uongo na ufeki mwingi sana.
Haaahaaa [emoji16]

Haaahaaahaa [emoji1787]

Kuna watu hawalijui hili[emoji22] Poor them

Mi ukinijudge Jf mbona utakoma kwenye uhalisia wangu[emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom