Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Dina dina dina sitaki chambwa wima mimi nmeshakuambia jamani!! Its not good kumzungumzia kwenye upupu wangu jamani! Ebu niulize kuhusu other aspects of life basi! Au kama ni mahusiano iwe upande wangu usimuhusishe mkaka wawatu jamani hivi unataka nilie lol! Nimemkosea sana vyakutosha
Sawa mahondaw
Jibu basi hilii shem wetu yupo single now
La mwisho siulizi tenaa
Usipojibu najua uzushi tu huu