Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
I don’t believe it was a fake relationship but kirusi was the reason why it ended and there were some signs here that they were going through difficult times before one or both made the decision to end their relationship.
Ooooh!Mlifahamiana kiJF na kuachana kiJF

Hakuna jambo real lilitokea nje ya JF?mlikuwa too cute to be in a fake relationship jamani 😔😔
 
Happy birthday Mahondaw.

Swali langu ni hili:

Ni kweli hii akaunti yako na ile ya Smart ni za watu tofauti?

Kwa udogo wangu wa akili nimegundua unaandika kama mwanaume and sijawahi amini kama hizi akaunti mbili haziendeshwi na mtu mmoja.

Ahsante
Khaaaaaa[emoji849][emoji849][emoji849]

Kwamba mahondaw ni kidume?

No wonder[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mtake radhi mkaka wawatu wity mimi ndie kivuruge niliemcheat kama ni kunitukana kama ni kunichamba nichambe mimi na si mkaka wawatu pullllizz! Muombe msamaha aisee!
Yaani ulikuwa ndani ya ndoa, ndugu yetu Smart911 alikuwa mchepuko, na bado ukamcheat tena... Yaani umemchepukia mchepuko.. [emoji23][emoji849][emoji848]
 
thanks mpendwa, kwasasa naishi bukoba,, niliwahi ishi moro, dar, mwanza, kigoma, arusha, na mbeya. Nilizaliwa moro mazimbu huko elimu primary sua, olevo kilakala, advance moro sec, chuo UD. Experience naifeel sana sekta ya afya sema physics na kemia viligoma kabisa aisee viligoma mapemaaa form two huko!
Hongera na pole kutoishi ndoto zako za sekta ya afya. Nilichelewa kupata notification nikawa napitia comments nikaona mjeda pale na Sudan mission nikamfananisha na ndugu mmoja ila yeye mke wake ni nurse. Ila sasa wewe hauko sekta ya afya.

Oikalege omukama akutonganile
 
Yaan leo smart haji hapa kabisa kweli mashemeji tunahangaika hapa hii couple irudiwee irudiwe
Dina dina dina sitaki chambwa wima mimi nmeshakuambia jamani!! Its not good kumzungumzia kwenye upupu wangu jamani! Ebu niulize kuhusu other aspects of life basi! Au kama ni mahusiano iwe upande wangu usimuhusishe mkaka wawatu jamani hivi unataka nilie lol! Nimemkosea sana vyakutosha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom