Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Shoo haya maneno mbona ivi amekufanyeje mkaka wawatu mpaka utumie lugha mbaya hivi?? He's very rich gentleman handsome muelewa sana asiekuwa na maneno makuu wala vurugu namtu, walaa si mzee kijana tu ambae hata wewe ukimuona nakumjua vizuri mate lazima yakutoke!
Aaaah wapi mkuu

Mate hayanitoki asee, over my dedi badi ( in kajala's voice)

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Happy birthday mahondaw Mimi nahisi umeolewa lakini hauko happy na ndoa yako,Uko mguu nje mguu ndani.. pole sio kitu cha kustaajabisha, lol... umefanya vizuri kuachana na Smart ili u focus na ndoa yako, ila kama ndoa haifanyi kazi rudiana na smart Naona Uko happy nae... Maisha mafupi haya [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji1787]

Ushauri mzuri ila ni mgumu kufata wapi aache wapi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom