Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Hahahahaaaa. Umelivaa leo shogaWallah simjui [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kwa id nyingine
Uwii mbona kesi hii Wity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaa. Umelivaa leo shogaWallah simjui [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kwa id nyingine
Uwii mbona kesi hii Wity
si utakuwa umbea huu [emoji23]Duhhhh.....
Nimesoma comments zote hadi hapa.
Sio vichwa vigumu ni ving'ang'anizi hadi utuonee hurumaMbona mnavichwa vigumu hivo jamani!!
Hata sisi tuna kufa mapema😂😂Acha wanaume tuwe na umri mfupi wa kuishi hapa duniani, tunakufa kwa mengi..
Btw, Happy Birthdate mpendwa!
mbona mimi jimbo lipowazi unishobokei mpaka smart, nishobokee hata mimiHahha sijatumwa we si umekubali kuacha lakin wenzio waingie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama naona pm yake hukooi
umejuaje kama wanapendana?Na wanapenda hao jamani. Siamini Madenge kashikwa vile maana hasikiagi yule nae
Shoogaa akiii nimeyavaaa atiiHahahahaaaa. Umelivaa leo shoga
Kwa sababu wameniambia na nimewaona. Mapenzi hayajifichi mkuuumejuaje kama wanapendana?
Umeenda kwa bonanza?Kwa sababu wameniambia na nimewaona. Mapenzi hayajifichi mkuu
Kwa kuwa ukipost tu napata notification au?Ningeshangaa sana kutokukuona hapa!
Bwana bwana. Acha niitumie vizuri jioni yangu mie kwa kukesha hapa.Shoogaa akiii nimeyavaaa atii
😂😂😂😂 bwana wee ika simjui akiiBwana bwana. Acha niitumie vizuri jioni yangu mie kwa kukesha hapa.
😂😂😂 mambo yawe wazi akiingia mtu hatutaki kelele au we waonajeHahahahaaa. Acheni shobokea ex wa watu ona sasa
Nimekosa bonanza leo.Umeenda kwa bonanza?
Sawaa mpenzi enjoyNimekosa bonanza leo.
Nimekuja Zenji kwenye full moon party.