Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Zile 2-3 anniversaries na smart zilikuwa ni kabla ama baada ya ndoa yako ya sasa?

BTW happy birthday my dia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naona umempa 4+ halafu mechi ya fainali ngoja tuone
 
Hahahaa hapana sababu nyingine kabisa ndio ilisababisha! By the time nipo dar kuna kipindi I told him the truth but he didnt believe because muda mwingi aliokuwa akinihitaji alinipata na baba watoto yupo sudani! Niliendelea kumweleza ukweli alikuja kuamini baada ya kujifungua mtoto wapili 2019 kwakua nilipasuliwa, nilizaa kwa oparesheni nikamuonesha mshono kabisa! Tuligombana kwa mengine kabisa
Acha wanaume tuwe na umri mfupi wa kuishi hapa duniani, tunakufa kwa mengi..

Btw, Happy Birthdate mpendwa!
 
Hello guys!

Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya mungu awabariki wapendwa. Pia nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana. Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na wachochea kuni wote tupo pamoja mazee nyie pia kheri iwe nanyi.

Karibuni mnipikie mniimbie mniswalike mnichekeshe na kunizawadia pia.

Warmly welcome
Bado upo kwenye mahusiano na smart 4 G ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom