Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Happy birthday Mahondaw.

Swali langu ni hili:

Ni kweli hii akaunti yako na ile ya Smart ni za watu tofauti?

Kwa udogo wangu wa akili nimegundua unaandika kama mwanaume and sijawahi amini kama hizi akaunti mbili haziendeshwi na mtu mmoja.

Ahsante
 
Ohooooooo jamen yashakuwa haya tenaa
Kumbe id ni moyaa 🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
Hebu fafanua hapa Front yaani ukiwa ndani ya ndoa ulikuwa unachepuka na nanihii? Na ndoa yako ya 2016 bado iko hai?
Asante Joanah . kama nilivosema nyuma ya keyboard kumejificha mengi mno! anyway zile annirversaries zilikua ndani ya ndoa my dia, I got married 2016 na mzee wa mwongozo tulikwaruzana badae tukafahamiana ki jf jf 2017.
 
Happy birthday mahondaw Mimi nahisi umeolewa lakini hauko happy na ndoa yako,Uko mguu nje mguu ndani.. pole sio kitu cha kustaajabisha, lol... umefanya vizuri kuachana na Smart ili u focus na ndoa yako, ila kama ndoa haifanyi kazi rudiana na Smart Naona Uko happy nae... Maisha mafupi haya 😊😊😊😊😊😊🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom