Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Mchuchu wake wa humu?

Sasa mbona ulimharibia mwenzako wakati hajaolewa while we una ndoa yako?

Kaswali ka mwisho dear..

Eti smart ni mdingi mtu mzima kisheti?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mtake radhi mkaka wawatu wity mimi ndie kivuruge niliemcheat kama ni kunitukana kama ni kunichamba nichambe mimi na si mkaka wawatu pullllizz! Muombe msamaha aisee!
 
Niseme tu usiamini kila tunachoandika humu au mitandaoni mingine mpaka uwe na ukaribu na kumjua huyo memba ile ya face to face yani nje ya jf katika uhalisia wake. Nyuma ya keyboard Kuna uongo na ufeki mwingi sana.
[emoji1787][emoji1787]bila shaka hili Ni jiwe gizani
 
Haaahaaa [emoji16]

Haaahaaahaa [emoji1787]

Kuna watu hawalijui hili[emoji22] Poor them

Mi ukinijudge Jf mbona utakoma kwenye uhalisia wangu[emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna MDA huwa nawaza witnessj na mahondaw nyie Ni mtu mmoja.

Mnafanana Kila kitu kuanzia uandish,avartar,upangiliaji wa paragraph na common words.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom