Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
ohoooo tuongelee yakwangu wapendwa si vema kumjadili yeye pulliizz! Anyway nilikua huko nimehamishwa kikazi kumfata mume nimeolewa na muhaya mpenda kwao ndugu!
Sasa mbona umesema tukuulizr maswali alafu unachagua ya kujibu?
Umesema umeolewa na una watoto 2, nimeuliza ambaye amekuoa ndio smart au, hujajibu
 
Mjeda yuko zake darfuri huku nyuma mabaharia wanamtafunia 😂,halafu unawaweza kukuta demu kadi ya bank anayo yeye akienda kutoa pesa anaenda na mchepuko wake 😂
Hayo yamejaa mkuu wangu....

Aaagh tuvipende tu vitoto vyetu kwani WANATUZALIA HAO...🤣🤣

Kutwa mafua na vikohozi visivyokwisha kutokana na vumbi la Darfur...huku mabaharia wanatanua tu mpaka ATM machine looh 🤣🤣🤣🤣
 
Lol mara kibao tu na tukikutana kam kawaa tunasambaziana maupendo kwakwenda mbelee! He Call me I call him, he text me I text him, sometimes ananichamba namchamba vilevile ivoivo hata nikiwa na kitu kigumu cha kazini namuuliza ananisaidia hahahaha! Ikumbukwe tumeachana jamani!!
Ulikuwa unakosa nini kwa mumeo? Mpka ukaamua ku cheat na kijana wa JF
 
Mchuchu wake wa humu?

Sasa mbona ulimharibia mwenzako wakati hajaolewa while we una ndoa yako?

Kaswali ka mwisho dear..

Eti smart ni mdingi mtu mzima kisheti?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Witty[emoji119]Baadaye nitakuomba mahali tuna jambo letu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom