Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Aiseee inauma....

Yaani unaacha manzi wote na kuamua kumuweka ndani mmoja baada ya KUSULUBIKA vya kutosha afu baharia anamegewa vile atakavyo...akituma SMS tu..."watu wamo" daah so sad ha ha ha
Kuna jamaa aliwahi kuazisha uzi humu kamwe hawezi kumnunulia mwanamke simu,inawezekana akawa mzee wa darfur yule mwamba 😂
 
Ha ha ha haki unanifurahisha unavyosifia [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Shoo haya maneno mbona ivi amekufanyeje mkaka wawatu mpaka utumie lugha mbaya hivi?? He's very rich gentleman handsome muelewa sana asiekuwa na maneno makuu wala vurugu namtu, walaa si mzee kijana tu ambae hata wewe ukimuona nakumjua vizuri mate lazima yakutoke!
 
Kumbe mahondaw best tumezaliwa siku moja, what a day to us!👏👏

Heri ya siku ya kuzaliwa dear, Mwenyezi Mungu akutunze na kukupa kibali cha kuishi miaka tele.

Ili kufurahia siku yako, nenda dukani kwa Mangi hapo chukua Hennessey zitakazokutosha bill nitumie 😀

Happy birthday mate 🍾🥂
Happy birthday mpendwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom