Dina dina dina sitaki chambwa wima mimi nmeshakuambia jamani!! Its not good kumzungumzia kwenye upupu wangu jamani! Ebu niulize kuhusu other aspects of life basi! Au kama ni mahusiano iwe upande wangu usimuhusishe mkaka wawatu jamani hivi unataka nilie lol! Nimemkosea sana vyakutosha
hahaha siwezi rudia hili suala inafika wakati mtu unatulia, nimepunguza dhambi aisee nyie mlikamilika hongereni sana!!
Niliyo nayo mengi, mengine tuweke kando, anijibu hapa.. Kwahiyo kwenye ndoa yake mpaka sasa ameonesha alikuwa na michepuko miwili.. Sasa sijui kama wameishia hao hao, au michepuko ilikiwa zaidi ya hiyo idadi tajwa. [emoji23]Ila makavel una ninii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mahondaw ni mjanja anatuchanganya hanyookii
Onganyiree kaziroo[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Chonka wity!!!!!
jamani dina nilikua namkeep bize jf tu by the time walikorogana nakuachana na aliekuwa mchuchu wake fulani! So the man was lonely.
Hebu funguka BAKI donβt believe it was a fake relationship but kirusi was the reason why it ended and there were some signs here that they were going through difficult times before one or both made the decision to end their relationship.
Unaweza kuta wewe ndio mwanaume na Smart alikuwa dada, Happy birthday MahondawNiseme tu usiamini kila tunachoandika humu au mitandaoni mingine mpaka uwe na ukaribu na kumjua huyo memba ile ya face to face yani nje ya jf katika uhalisia wake. Nyuma ya keyboard Kuna uongo na ufeki mwingi sana.
πππtafadhali.nasubiri majibu.Hili swali lijibiwe
Ntakupigia myNashangaa tu unawezaje kuwa tofauti humu ukilinganisha na real life yako. Hebu nipe mifano miwili tu Best nikuelewe.
BAK nasubiri majibu kwa kinaπI donβt believe it was a fake relationship but kirusi was the reason why it ended and there were some signs here that they were going through difficult times before one or both made the decision to end their relationship.
Niwe mkweli hapanaNa wewe ushawahi hisi hivyo eeh?
Kuna REplay, sasa hii kitaalam inaitwa REkunjunjana..mahondaw wakati unanjunjana na Smart, mimi Watu8 sikuwepo jeiefu, ila kwa sasa nipo hapa naomba kunjunjana 'kuludiwe, kuludiweee'
Hahah!
No lazima niwe siriazi kwenye hili..sikubali π πDon't take that too seriously
You just enjoy your life, juzi nimekusubiri Tiffany pale hadi saa 7 usiku na hukuja wakati nilikuagizia ndafu ya Mbuzi ππ
Pole dear[emoji22][emoji22]Dina dina dina sitaki chambwa wima mimi nmeshakuambia jamani!! Its not good kumzungumzia kwenye upupu wangu jamani! Ebu niulize kuhusu other aspects of life basi! Au kama ni mahusiano iwe upande wangu usimuhusishe mkaka wawatu jamani hivi unataka nilie lol! Nimemkosea sana vyakutosha
Sijapita kitambo kule though wakati ule tukiwa chuo ilikuwa mitaa yetu ya kuvinjari.