Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
aiseeeee
 
Khaaaaaaa[emoji134][emoji134][emoji134]

Mbona uko serious mno Ray??

Je una uhakika haya aliyoyasema humu yana ukweli?? Mwenyewe kasema tusiamini kitu humu[emoji848]

Hilo gazeti bora ungemuandikia Cat maana kazingua msibani[emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
elle n'est pas à toi, pas à moi non plus, faut-il se quereller?
Même moi je l'aime, et si tu prends du recul?
yaaani hapa ndo nimegundua kuwa ninapotumiaga kngereza huku mtaani kuna watu nawaudhi kama nyinyi mnavyotuudhi hapa....sasa naenda soma kwa ras simba wa kifarnsa hahahaaaaaaaaaaaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kama kadanganya shauri yake!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman samehe tu ni wivu hata mim nishagombana na mtu humu kisa bebe
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]...huo wivu na mwanaume wa JF unaupatia wapi?

Wanaume wa humu JF ni cha wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…