Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Aisee kweli mapenzi ya mitandaoni ni mauongo uongo mwingi......yaani mlivyokuwa mnarusha roho watu humu tukajua nyinyi ni '18 Bonnie and clyde wa kizazi kipya....Umetufunza kitu humu kuhusu mademu......Ni kweli hapo imeisha hiyo haiwezi tutokea mkarudiana maana wewe ndio uliyekoroga ila kama ingekuwa smart ndio kalikoroga mngerudiana.

Ngoja smart aje kutupa Muongozo ila mme wako huyo msudani akija kujua kwamba naye ulimcheat si anaweza pia akakupiga chini? au nayo umetupiga kamba? Kwa maelezo uliyoyatoa huyo msudani lazima atakujua ndio wewe.

Cc: Smata411 and mahandazi.
What smata ,mahandazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wtf!!?[emoji1][emoji1787]
 
Kweli ukweli mnaujua wawili tu. Umeamua kuchangamsha jukwaa bibie! Hakuna cha mume hapo na hakuna cha ndoa ingawa una watoto. Kagera ulikuwepo zamani Mleba ulipojifunza Katerero si sasa. Happy Birthday kimwana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mlio kuwa na baby humu kuna kipindi mlikuwa mnajishauwa mlijikuta nani sijui kuna I'd ya kike ilishawahi nijibu mbaya kisa nilikuwa na bebishana na mchepuko wake maana jamaa nasikia ana familia kwa sasa kaachwa namuona kwenye uzi huu anavyojifariji.
Tubebishane mimi na wewe kisiriasi siriasi basi, ama vipi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom