Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Best Front jina la BAK mbona silioni hapa? 😂😂
Nawashukuru sana Davinci na Raynavero na team wachochea kuni kwakua wawazi mmenipa marungu nakunisema hapahapa ila nyie wengine nyieeeeeeee!! naomba niishie hapa na mwisho wa siku ukweli utabaki palepale. pepo naiona pekeangu hakii!
 
Asante Joanah . kama nilivosema nyuma ya keyboard kumejificha mengi mno! anyway zile annirversaries zilikua ndani ya ndoa my dia, I got married 2016 na mzee wa mwongozo tulikwaruzana badae tukafahamiana ki jf jf 2017.
Kuna funzo hapa wanaume.
 
Mh hapa cjaelewa bado mkuu, kwamba uliolewa na smart au uliolewa na mtu mwingine zen mkaachana ndo ukawa na smart.

Wengine cc co watu wa kufuatilia mambo ya watu ila haka ka relationship kenu nilivutika kukafatilia kimtindo [emoji3][emoji3]
Seems alikuwa na ndoa yake na ikawa na tawi jipya la smart
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom