Happy Birthday Mahondaw

Happy Birthday Mahondaw

Nawaambia wote wenye wivu na kupendana kwetu basi wanywe maji ya baridi ,kwa sababu mimi na wewe tumeunganishwa na upendo kutoka ndani ya sakafu ya mioyo yetu.hata wanasiasa wabadilike na kuja wengine lakini mimi na wewe tutaendelea kupendana na mioyo yetu kuunganishwa na kuchanua kwa furaha na mahaba utafikiri maua ya masika Wakati wa mvua.
Mwenye wivu mmojawapo ni Watu8 😍🤸
 
Bado nakupenda sana ephen wangu lazizi na Waridi wa Moyo wangu. Wewe ndiye kiota cha Moyo wangu. Wewe ndiye chemchemi wa furaha yangu. ephen nifanye nini na kusema nini ili ujuwe nakupendaa.au nikupe moyo wangu uwe unaungalia muda wote kuwa unawaza na kukuwazia nini muda wote.
😆😆😆 dah mkuu umebubujikwa sana
 
Maneno matamu hivi mkiachana kuna uchawi
Hili penzi kuachana tena God forbid!Washeeeendweeeeeee IJN !
Sio kwa milima na mabonde tuliyopitia na tunayopitia kiukweli.
My heart is filled with gratitude for the love he shows shows me. I am forever thankful mkuu yani sijui hata nikwambieje uelewe!
 
Thank you for loving me for who I am, my love. You make me believe in the power of true love.
Thank you for always being there for me, both in good times and bad . You are my true hero Smart911

There are no words to express how much you mean to me. Thank you for being the best partner anyone could ask for.

I know What you are going through hayaelezeki kwa maneno mpenzi wangu. Nashukuru sana kwa busara hekima na uvumilivu wako
I am so lucky to have you by my side smart. Thank you for loving me unconditionally and always making me feel cherished, you are my pride Smart911
Your kindness, patience, and understanding make me fall in love with you all over again every day. Thank you for being you babe!

More years to me 🎂🎂🎂🎂🎂🎂
 
To the one who makes every day sweeter than the last....
The most amazing, funny, and sometimes infuriating person I know...

You're not just my love, you're my best friend, my confidant, and my partner in crime with to many more adventures, stolen kisses, and whispered secrets...

May this year be filled with blessings, joy, and all your heart desires...
With every birthday, you grow older, but your love never fades, It deepens, strengthens, and becomes even more precious to me...

Thank you for always being there for me, through thick and thin...
Happy Birthday to the person who inspires me to be a better person every day...

Happy Birthday Mahondaw ... Happy Birthday my love... Happy Happy sweetheart...

Nimeipenda hii
 
Mahondaw atanipa notes zake zote
Yaniii nina notes zimejaa makaunta yakushatro hapa kama ni series itakua hatari narobotatu!

Unahitaji kuwa moyo wa jiweee kama sio wa chuma!!
Moyo mgumuuuuu moyo wa kupuuzia wa kutojali!

Moyo wa kufocus na your bebee♥️♥️💕💕💕
Asante kwa birthday wish mamy!
 
Back
Top Bottom