Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Uweeeeeeehhh!!Acheni ushamba huyo ni mtu mmoja.
Umetishaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uweeeeeeehhh!!Acheni ushamba huyo ni mtu mmoja.
Amin amin!!More life to her
All the best,nami nawaombea hivyo,Smart forever and alwayssssss!!
More years to come 🎂🎂🎂🎂🎂
Mwenye wivu mmojawapo ni Watu8 😍🤸Nawaambia wote wenye wivu na kupendana kwetu basi wanywe maji ya baridi ,kwa sababu mimi na wewe tumeunganishwa na upendo kutoka ndani ya sakafu ya mioyo yetu.hata wanasiasa wabadilike na kuja wengine lakini mimi na wewe tutaendelea kupendana na mioyo yetu kuunganishwa na kuchanua kwa furaha na mahaba utafikiri maua ya masika Wakati wa mvua.
😆😆😆 dah mkuu umebubujikwa sanaBado nakupenda sana ephen wangu lazizi na Waridi wa Moyo wangu. Wewe ndiye kiota cha Moyo wangu. Wewe ndiye chemchemi wa furaha yangu. ephen nifanye nini na kusema nini ili ujuwe nakupendaa.au nikupe moyo wangu uwe unaungalia muda wote kuwa unawaza na kukuwazia nini muda wote.
Hili penzi kuachana tena God forbid!Washeeeendweeeeeee IJN !Maneno matamu hivi mkiachana kuna uchawi
Sio kweli!😂🤸Unamuumiza Mnyiha wa Mlowo ujue...
Na sisi tujifunze englishNaona wote mmeunganishwa kwa kizungu. Bila shaka humo ndani itakuwa kama darasa la international school
Nimeipenda hiiTo the one who makes every day sweeter than the last....
The most amazing, funny, and sometimes infuriating person I know...
You're not just my love, you're my best friend, my confidant, and my partner in crime with to many more adventures, stolen kisses, and whispered secrets...
May this year be filled with blessings, joy, and all your heart desires...
With every birthday, you grow older, but your love never fades, It deepens, strengthens, and becomes even more precious to me...
Thank you for always being there for me, through thick and thin...
Happy Birthday to the person who inspires me to be a better person every day...
Happy Birthday Mahondaw ... Happy Birthday my love... Happy Happy sweetheart...
Yanii Vayolensi ni nyingi zaidi kiukweli namshukuru sana smart ni muelewa otherwise!!! Sijuuuuuuiiii!Hii kapo huwa inapitia nyakati zote za mwaka, kuanzia vuli hadi kipupwe.
Hongera zake kwa kukumbukwa, maana sie wengine hizo bday zinapita na hatukumbukwi wala nini.
Thank you dearHappy birthday kwake🎂🎂
Khakhakhaaaa!!Sasa ushamba wetu ni nini? Kama yeye kaamuwa kujifanya ni watu wawili, sisi tunakuwaje washamba?
Santo sana mamy!Hbday to her
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaa Hii imenipenyaaaaa📌📌📌📌📌📌📌!Sijali..!
Acha tu mkuu ni seleka sio za nchi hii!Huyo kapanda na kushuka, kapanda tena...
Usiache kuchukua notes zake[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaniii nina notes zimejaa makaunta yakushatro hapa kama ni series itakua hatari narobotatu!Mahondaw atanipa notes zake zote