ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Ukiachana na WC mimi sioni kingine Gaucho anachomzid Messi.
Gaucho ana mbwembwe sana, ila Messi the way anavyodribble ni burudani tosha kabisa sababu hata Gaucho hadrible kama Messi kwa mimi nionavyo.
Harafu Messi anazile chenga zake za kukutisha kama anaenda kushoto au kulia, ukienda upande huu yeye anaenda upande huu.
Kama ipi?
Gaucho alidanganya umri haiwezekani acheze kiveteran hata miaka 29 alikuwa hajafika huko mwaka 2008
Kombe la mbuzi mitaa ya Rio de janeiro hapo 1999..Graemio vs Internacional...Dinho(18) anapokea mpira katikati ya kiwanja, Captain Dunga anakimbilia kumkaba...Dinho aka mvisha jamaa dalizi anamshika bega jamaa anageuka mara tobo, Dunga chini kateleza!!. Uwanja mzima washbiki wanalia ole ole ole!!
Hadi leo Dunga hataki kabisa kusikia jina la Dinho

Kuchangia huu uzi ni kujitafutia mazambi tu,huwezi kumtukuza mchezaji kihivyo, "eti mtume na nabii wa mwisho" huu ni ujinga uliokithiri, kweli waafrika tunasafari ndefu
Wakati kuna wazaidi yake yeye lkn hatukuwatukuza kihivyo,, duh binaadamu tunavuka mpaka kwakweli, mtu mwenyewe hajafikia hata robo ya uwezo wa akina Messi,Maradona,Pele,Zidane Alaf umtukuze ivo,
Gaucho alidanganya umri haiwezekani acheze kiveteran hata miaka 29 alikuwa hajafika huko mwaka 2008