Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Ewaaaahhh.

Babe nilikuwa nakusubiri sana hapa, kwa hakika Babe wako kazaliwa upya sasa ni mpya kabisa kwa kila nyanja ya kimuonekano, kimtazamo, kifikra, kiumbo, kimalengo, kiupendo kwako wewe.

Nakupenda sana babe wangu moneytalk, Mungu atujalie maisha marefu yenye upendo, amani, uvumilivu na baraka tele kadri ya mapenzi yake.
Mkuu huyu ndiyo yule uliyesema unakaribia kumaliza mipango baada ya Mshana jr kukupora?
 
Maswala ya wanaume kusherekea basedei mitandaoni ni mambo ya ajabu
 
Back
Top Bottom