Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Amina kuwa tukutume, uwe na afya njema na miaka 1000Ahsante sana Ulweso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina kuwa tukutume, uwe na afya njema na miaka 1000Ahsante sana Ulweso
Naota au nipo ndotoni?Amiin
Nakupenda sana pia moneytalk[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Muchas gracious bossAhsante sana mkuu Nyagei
Mkuu huyu ndiyo yule uliyesema unakaribia kumaliza mipango baada ya Mshana jr kukupora?Ewaaaahhh.
Babe nilikuwa nakusubiri sana hapa, kwa hakika Babe wako kazaliwa upya sasa ni mpya kabisa kwa kila nyanja ya kimuonekano, kimtazamo, kifikra, kiumbo, kimalengo, kiupendo kwako wewe.
Nakupenda sana babe wangu moneytalk, Mungu atujalie maisha marefu yenye upendo, amani, uvumilivu na baraka tele kadri ya mapenzi yake.
Umeona eeehh, my sweetheart hii ndio mida mizuri kabisa miongoni mwetu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]yes honey,ni muda wetu sasa
Kalale una zurura sana au unataka kufunga mageti[emoji28]Muchas gracious boss
Hahahahaaaaaa.Mkuu huyu ndiyo yule uliyesema unakaribia kumaliza mipango baada ya Mshana jr kukupora?
Hata babu wa Loliondo naye aliota[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naota au nipo ndotoni?
Mkuu naona umeangua kicheko si cha nchi hii,haujawaamsha majirani kweli?Hahahahaaaaaa.
Hicho ni kicheko cha moyoni mkuuMkuu naona umeangua kicheko si cha nchi hii,haujawaamsha majirani kweli?
Kumbe,haya cha nje ya moyo ndio kinaandikwaje mkuu?Hicho ni kicheko cha moyoni mkuu
Hakina tofauti na hicho kiuandishi ila kitakachotofautisha nai sautiKumbe,haya cha nje ya moyo ndio kinaandikwaje mkuu?
Ok mkuu.Hakina tofauti na hicho kiuandishi ila kitakachotofautisha nai sauti
Hahahaa. Sawa mdogo wangu.Hahahahahaaaaa.
Msijali Dada znagu wifi bado hajazaliwa maana mimi mwenyewe ndio nimezaliwa leo
Koh koh koh. Nimepaliwa ujue mdogo wanguhhah sitaki wifi kwa kipind hiki mdog wangu tuangalie maisha kwanza
Mmh. Mshenga au hukuwa hewani?
Hahaaa. Mie namsalimia tu.Hahahahaaaaa
cc mikononyuma
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]