Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ahsante sana rafiki.Hakika inapendeza kumshukuru Muumba kwa namna anavyotubariki.
Nikupongeze kwa hiyo hatua mkuu na baraka tele ziwe juu yenu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana rafiki.Hakika inapendeza kumshukuru Muumba kwa namna anavyotubariki.
Nikupongeze kwa hiyo hatua mkuu na baraka tele ziwe juu yenu.
Duuh! Pole sana rafiki. Unaendeleaje sasa?Iko poa kiasi maana nasumbuliwa na mafua pamoja na kichwa tangu juzi mkuu.
Acha uchokoziMaandalizi ya kumpokea wifi yenu Moneytalk?
Acha uchokoziMaandalizi ya kumpokea wifi yenu Moneytalk?
Morning hubbyKweli kabisa maana mihangaiko pia inachosha
Afternoon sweetheart, miss you moree.Morning hubby
Na akome kabisa...Acha uchokozi
sawa mamaAsante!
Nimebakiza deni kwa mmoja. Naomba Mungu anijalie kumbukumbu ili nipate kutimiza ahadi yangu kwake.
whaoo thnx darln,njoo nichukueAfternoon sweetheart, miss you moree.
Twende tukale lunch Victoria Fish Market my Babe
honey leo natamani kushinda na wewe ndani unidekezeNa akome kabisa...
Nakuja honey jiandae haraka nikifika tuondoke moja kwa mojawhaoo thnx darln,njoo nichukue
Honey usijali utajihisi upo Duban kabisahoney leo natamani kushinda na wewe ndani unidekeze
Hahahahahaaa
Ahsante sana cocochanel mpinzani wangu humu jamvini kunako mitaa ile Makinikia na Bombardier.
Tuwe wapinzani wenye kuleta tija kwa Taifa.
Kwa kweli mfupa umeguswa na sina jinsi siwezi kufurukuta
Asante sana tuko pamoja sana kamandaAhsante sana Beira Boy-LONDON BOY
Uwahi kipenzi changuHoney usijali utajihisi upo Duban kabisa
Nakupenda sanaNakuja honey jiandae haraka nikifika tuondoke moja kwa moja