Happy birthday my Darling! I love you


Asante mpenzi wangu kwa kunijali na kuifanya siku yangu kuwa njema nimeinjoy sana.nitakupeda daima
 
Last edited by a moderator:
happy birthday shansarie uishi miaka mingi kama bi kidude
kiwatengu kwann ulinzi uimarishwe kwetu tu lol

Happy birthday shansarie. Mungu akupe maisha marefu

Happy birthday shansarie... Mungu akupe miaka mingi hadi urudie kuwa kibogoyo na kutambaa kama kichanga...

Ahsante na hongera sana kiwatengu kwa kutushirikisha.. please play your part!

Happy birthday shansalie

Maisha mema kwenu nyote, kwa kuwa mu mwili mmoja. shansarie & kiwatengu

Happy birthday shem waukweli shansarie
kiwatengu nakuja hakuna shida ya ulizi kwani na jk atakuepo??

Heri ya kuzaliwa shansarie

Nakutakia Maisha marefu na yenye mafanikio na furaha.

Mungu akubariki na awabari wote na mumeo kiwatengu

Pamoja sn wakuu....!

Happy birthday shemeji shansarie. Mungu akupe maisha marefu​



Happy birthday wifi shansarie Mungu akuzawadie miaka mingi zaidi.

Happy birthday #shansarie

Nimewamiss mnoo

Pokea ujumbe huu kutoka kwa Chocs & Erickb52
Uwe na maisha yenye kheri na afya telee

kiwatengu asante sana kwa kuniita kwenye uzi huu na hongera sana kwa shansarie kwa siku hii njema sana kwake
Happy Birthday shansarie na Mungu akupe maisha marefu na yenya furaha


Happy birthday mke wa Kiwatengu,hebu tuambie anatimiza umri gani

happy birthday to your sweet potato shansarie. Mungu ampe maisha marefu na yenye ukamilifu


Happy birthday shansarie,Mungu akupe maisha marefu.

Nimechelewa kuona ujumbe ila nadhani keki bado haijakatwa.Please nikikute kipande changu.Happy birthday mumie shansarie

Mimi na Mme wangu Mwanyasi tunawatakia sherehe njema ....heri ya kuzaliwa mama kiwatengu Mungu akupe maisha mema na yenye fanaka.

Happy birthday shansarie,,,, Mungu akupe maisha marefu upate kuona wajukuu wa wajukuu zako...

Happy. Birthday chica........enjoy siku yako...........

Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako shansarie wa kiwatengu

Mbarikiwe wote mlionitakia kheri mkwakweli mmeshiriki vema kuifanya siku yangu kuwa njema asantrnu sana
 
Last edited by a moderator:

Utaanzia api jaribu uone
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…