Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mbarikiwe wote mlionitakia kheri mkwakweli mmeshiriki vema kuifanya siku yangu kuwa njema asantrnu sana
Eti umesemaje??
Who is chica?
Vipi Mbona washangaa sn? Alafu ujue Nilikua nakutafuta sn wewe ujue?
Ngoja nikatafute miwani yangu nahis sioni vizuri
Mmmmmmh na wewe mupenziii?!!! Hupitwi....!
Mmmmmmh na wewe mupenziii?!!! Hupitwi....!
nilifikiri yule aliye:hatari: katika gari aina ya IST akiwa anamkosea Mungu na Kwantwe kule mwanza/bukoba makambe
kumbe upoooo
Marhaba dada yangu...!
Duh...! Shemeji hakunisikiliza. Katoka nduki huyo kaona mambo gani tena ya kupigana mizinga...!