Happy birthday my Love moneytalk

Hahahahahaaa.

Shukrani mkuu
 
Hapo nimekudhihirishia kuwa hili jambo limeanza muda mrefu, huo ujumbe ndio ilikuwa. mara ya kwanza kutambulisha hili jambo public(kwa wana JF)

Sasa unganisa dots mwenyewe
Hivi mbona huwa hatuwezi kujibu moja kwa moja hadi tuzunguke sana na bado jibu usitoe la kueleweka. Ulichoniambia ni maelezo na sio jibu. Ila isiwe shida maana ni privacy yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…