Happy birthday my Love moneytalk

Happy birthday my Love moneytalk

Nakutakia kila la kheri na baraka tele katika siku yako hii muhimu sana. Miaka kadhaa tarehe kama ya leo Moneytalk ulibisha hodi na ukakaribishwa katika dunia hii yenye kila aina ya rangi. Chagua na ubakie na rangi ya waridi, ambayo wewe na hata Mwifwa mtaifurahia siku zote,

Happy birhday to you
Asante sana sesten,mwenyezi mungu akubariki
 
Nimtafuta namna ya kuandika gazeti ila nimejikuta na lifuta

Safari ya mwanadamu huwa ina mengi katika mengi huya mabaya na mazuri

Unahitaji kuwa na mvumilivu katika kila pito unalo pitia

Hongera kwa kuongeza miaka ya uwepo wako duniani

Mungu akuzidishie afya tele

Mwifwa hongera kwa kujitwaria kimwana 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Asante sana luv,mwenyezi mungu akubariki
 
Back
Top Bottom