Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anisamehe tu kwakweli@Mwifwa angekupa za chembaah oohh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120]Happy born day #PesaInaongea Mwifwa.
Mungu awape maisha mafupi ya UZINZI na marefu yenye furaha na mafanikio kwenye NDOA.
Kulalek
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante leratoHappybirthday kamogelo. Live long
Asante sana sesten,mwenyezi mungu akubarikiNakutakia kila la kheri na baraka tele katika siku yako hii muhimu sana. Miaka kadhaa tarehe kama ya leo Moneytalk ulibisha hodi na ukakaribishwa katika dunia hii yenye kila aina ya rangi. Chagua na ubakie na rangi ya waridi, ambayo wewe na hata Mwifwa mtaifurahia siku zote,
Happy birhday to you
thnx babe,nakupenda piaHappy birthday babe Mungu azidi kukulinda na mabaya yote nakupenda [emoji8]
thnx luv
Asante sana luv,mwenyezi mungu akubarikiNimtafuta namna ya kuandika gazeti ila nimejikuta na lifuta
Safari ya mwanadamu huwa ina mengi katika mengi huya mabaya na mazuri
Unahitaji kuwa na mvumilivu katika kila pito unalo pitia
Hongera kwa kuongeza miaka ya uwepo wako duniani
Mungu akuzidishie afya tele
Mwifwa hongera kwa kujitwaria kimwana 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Asante shemela wanguHbd shemelaa...
[emoji120] [emoji120]Maisha marefu sana kwake.
Amen ubarikiwe piaAsante sana luv,mwenyezi mungu akubariki
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Muheshim uyo mtu yupo tanga kafungiwa ndan na njema moja iv
Na log off
Asante sana wifi yangu kipenzi,usisahau kuja na keki eeeh
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] thnx darlnHappy birthday kiuno chake na Mwifwaaa
Thnx nokia
AaaminAsante sana sesten,mwenyezi mungu akubariki