Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa Dua yako mkuuNakutakia kila la kheri na baraka tele katika siku yako hii muhimu sana. Miaka kadhaa tarehe kama ya leo Moneytalk ulibisha hodi na ukakaribishwa katika dunia hii yenye kila aina ya rangi. Chagua na ubakie na rangi ya waridi, ambayo wewe na hata Mwifwa mtaifurahia siku zote,
Happy birhday to you
Maneno mujarab kabisa, neno tamtam kwa mwanaume kulisikia kutoka kwa sweetheart wake, neno lenye kilo likuki za mahabaasante sana kipenzi changu,mwenyezi mungu azidi kukubariki na kukuongezea mafanikio tele ktk maisha yako,umekuwa mwanaume wa pekee sana kwangu unayenipenda,kunijal,unaniheshimu na mwenye mwenye mapenzi ya dhati kwangu,japo mazingira tuliyokutana(jf)ilikuwa vigumu kuamini kama tungefikia hapa leo! Nakupenda sana mwifwa wangu umenifanya niwe jasiri,umeondoa huzuni moyoni mwangu na kunifanya niwe mwenye tabasamu muda wote!NITAKUPENDA MILELE
Pamoja sana kakaAhsante kwa Dua yako mkuu
Unajua kuna jamaa fran iv kamuwish demu wake flan iv watsup mbaya zaid uyu jamaa nilishawai kumuuliza jf unatumia id gan sababu nshamgumia mara kibao akichat ila sijafanikiwa kujua id yakelakini unapigia mstari tu.
Hahahaaa
Ahsante mkuu.Nimtafuta namna ya kuandika gazeti ila nimejikuta na lifuta
Safari ya mwanadamu huwa ina mengi katika mengi huya mabaya na mazuri
Unahitaji kuwa na mvumilivu katika kila pito unalo pitia
Hongera kwa kuongeza miaka ya uwepo wako duniani
Mungu akuzidishie afya tele
Mwifwa hongera kwa kujitwaria kimwana 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Hahaaa. Kama ni msahaulifu. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nilikua nakuangalia tu mwanafuzi wewe😛😛😛
Halafu keki bado hujaleta ujueHahaaa. Kama ni msahaulifu. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
KhaaaaaaEndelea tu kusubiri
Baba wawili kumbe na ww umekuja kula keki kimyakimya[emoji134] [emoji134] [emoji134]Happy birthday shemela moneytalk
Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka na furaha katika maisha
Amina[emoji120] [emoji120]asante sana kipenzi changu,mwenyezi mungu azidi kukubariki na kukuongezea mafanikio tele ktk maisha yako,umekuwa mwanaume wa pekee sana kwangu unayenipenda,kunijal,unaniheshimu na mwenye mwenye mapenzi ya dhati kwangu,japo mazingira tuliyokutana(jf)ilikuwa vigumu kuamini kama tungefikia hapa leo! Nakupenda sana mwifwa wangu umenifanya niwe jasiri,umeondoa huzuni moyoni mwangu na kunifanya niwe mwenye tabasamu muda wote!NITAKUPENDA MILELE