Ww acha tu , tuombe uzimaPole sana Pacha hakuna jinsi mwaya zidi kupambana tu.
Karibu Pacha! tuwasiliane ukikaribia.
😳😳 naja 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Mimi sijambo japo nipo kifungoni
aisee basi nitakuja huko pm, acha aendelee na mikwara yake.Hahaha hahaha
Ni mikwara tuu jamani kakake!
Akiingia pm kwangu lazima akufe kwa mshtuko! Siwezi ruhusu hilo jamanii!
Habari ni njema, vipi wewe apo
Kifungo hicho vipi dear...Mimi sijambo japo nipo kifungoni
Kifungo hicho vipi dear...Mimi sijambo japo nipo kifungoni
Hahahaa. Alipotoka huko sijui kama simu hakuiweka kwapani. 😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama namuona alivyokuwa ananyatia
[emoji15][emoji15] naja [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ni misemo tuusi hapo nimeona wanasema waliozaliwa mwezi huu ndio majiniasi
Hakika Pacha. Tuombe uzima. 🙏🙏🙏Ww acha tu , tuombe uzima
Hivyo Kaka na mie ni jiniazi. 😀😀😀😀si hapo nimeona wanasema waliozaliwa mwezi huu ndio majiniasi
nimekusamehe kila kitu Clkey [emoji4] usijali,Utani bwana nisamehe basi, usitake tuwe serious kama wale pumbavu sometimes tunataniana, mie bwana sijambo kabisaa sijui weye
Kifungo cha hayo majukumu mama maan ht muda hautosh wallah busy namna mbili yaani aaaggggrrrrKifungo hicho vipi dear...
Mie nitakuwa nalimwa vibao kila siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mana nkasema uzee huu nao kila nkikaa naitamani Tanga tu.
Ewaaaaa. Napakumbuka si ulinielekeza siku ile. [emoji3][emoji3][emoji3] Baadae naja. [emoji126][emoji126][emoji126]
WifiAhsanteeeeee kwa kila kitu, usisahau na ndoo ya maji kwa niaba yangu
nipo njiani nakuja kukuleteaThanks babake!
Sijasahau zawadi zangu jamani
Pole sana dear!Kifungo cha hayo majukumu mama maan ht muda hautosh wallah busy namna mbili yaani aaaggggrrrr
Nikupokee wapi eti babakenipo njiani nakuja kukuletea
Njoo unipokee