Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama namuona alivyokuwa ananyatia
Hahahaa. Alipotoka huko sijui kama simu hakuiweka kwapani. 😂😂😂😂😂

Maana ukiishika mkononi waeza ulizwa kulikoni umeshika simu usiku huu. 😂😂😂😂😂😂😂
 
Ndio mana nkasema uzee huu nao kila nkikaa naitamani Tanga tu.

Ewaaaaa. Napakumbuka si ulinielekeza siku ile. [emoji3][emoji3][emoji3] Baadae naja. [emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona sasa jamanii!!

Tanga nakufuata huko siku kuu bana!
Karibu sana
 
Back
Top Bottom