Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Ijapokuwa nimechelewa ila najua sio sana,kwanza kabisa napenda nimfikishie hongera nyingi sana mama mzaa chema kwa kukuleta duniani siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita,pia tumshukuru mwenyezi. Mungu kukuwezesha kufikia umri ulionao sasa, natambua leo ni siku ya muhimu sana kwako.
Mwisho kabisa namuomba Mwenyezi Mungu akubariki na akujalie maisha marefu yenye baraka na mafanikio.
Asante sana young jaman
 
Ngoja niwaletee picha ya shunie kuna jamaa kampost uku
ddf787a66077700a612cb0263ae1e04f.jpg

Shunie huyo kwa wasio mfahamu[emoji23] [emoji23]
Asanteeee mnatamai mumjue shunie eenh mmenipatia kweli
 
Back
Top Bottom