Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Kichwa hiki kina mambo mengi sana,niombee msamaha basi.Ukome
Si nilikuambia uweke alarm ukawa na jeuri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa hiki kina mambo mengi sana,niombee msamaha basi.Ukome
Si nilikuambia uweke alarm ukawa na jeuri...
Asante sana young jamanIjapokuwa nimechelewa ila najua sio sana,kwanza kabisa napenda nimfikishie hongera nyingi sana mama mzaa chema kwa kukuleta duniani siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita,pia tumshukuru mwenyezi. Mungu kukuwezesha kufikia umri ulionao sasa, natambua leo ni siku ya muhimu sana kwako.
Mwisho kabisa namuomba Mwenyezi Mungu akubariki na akujalie maisha marefu yenye baraka na mafanikio.
Hivi nyie watoto mbona siwaelewi!! Mna waume wangapi!!!Ukisikia mume kachelewa harusini ndo leo
Haya Shem
Huyo huyo ndio anayo auntieLeo keki itatoka tu, sitaki utani kabisa.
Nyie bila mkwara mtanipanda kichwani nishaona. Sasa leo keki mtatoa.Sio kwa mkwara huo.
Shunie ukuje huku
AhahahahahYani[emoji23] [emoji23] shida tupu, sijui kwanini mambo kama haya yananipita.
Aibu yangu mimi, nitaificha wapi sura yangu.
Ngoja niwaletee picha ya shunie kuna jamaa kampost uku
Asanteeee mnatamai mumjue shunie eenh mmenipatia kweli![]()
Shunie huyo kwa wasio mfahamu[emoji23] [emoji23]
Wengiiii auntieHivi nyie watoto mbona siwaelewi!! Mna waume wangapi!!!
Auntie nilikuwa nahisi ulitolewa fotocopy.Auntie asante jaman kwahiyo ulijua mm sijazaliwa eenh cake anayo sakayo
Haya mambo mmerithi wapi!!!Wengiiii auntie
Hahaha
Shunie anao wawili tuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Asante mkuzi sasa mbona me sina chura
AiseeNaanzaje kwa mfano
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ahahahahah
Hayo ndio maneno sasa.Ndiiioooo
Na huyu katokea peramiho[emoji23][emoji23][emoji23]Asanteeee mnatamai mumjue shunie eenh mmenipatia kweli