Happy Birthday to Me! OMG!!!ODM anazidi kulisogelea kaburi...

Aibu aibuuuuuuuuuuuuuuuuuu........... Wake wote wanne wameshindwa kujua birthday yako babu Asprin kha!!!!!
Ndo maana nilikwambia uwaache wote unione mimi ukagoma unaona sasa..... yan me ningekuwa wa Mwisho kutoka mwanzo kukuwish HAPPY BIRTHDAY...... Shaurilooooooooooo!!!!!!

Aibu yako aibu yaooo!!!!

Nakala kwa : cacico, Yummy, BADILI TABIA na Kongosho:target::target::target::target:
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwa red..... ntalifikiria asee.....

Hapo kwa blue, hebu come this way darling......... Ila mwambie Nicas Mtei asiwe na wivu wa kike.:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Last edited by a moderator:
happy birthday babu baby Asprin ODM
mzeeh k...k amekuwekea keki ya kienyeji jioni upitie pale :A S soccer:
Oh senkyu hani. Mbona hujibu sms yangu? Nataka mwongozo wako ujue...

umeona eeeeeh....hao wazee nawapa big up sana.......
Hehehehe..... leo ukimpigia kilongalonga, mpigie makofi matatu kwa afya yangu! Ashukuriwe babake Preta bana!
 
Last edited by a moderator:
amu na Paloma wameniahidi watakupa kampani sherehe nzima, tena wameapa kwa kutumia katiba ya CC
Popote mlipo amu na Paloma, hebu mkuje pande hii mniambie kama huu mswada anaosema watu8 hapa niuweke kwenye katiba mpya au laa!

chini ya twisheni yako ODM nimefuzu sanaaaaaaaaaa sibababishwi na kitu! mwenyewe navaa tenge langu na skini taiti aaah no problemo!
Na bado, kuna vingine viiiingi navyotakiwa kukufunza. Kazi yako ni kunipa nafasi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…